Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Tumaini Njole Feat. Christopher Muhangila – Mtetezi Wangu Yu Hai

Audio

Audio: Tumaini Njole Feat. Christopher Muhangila – Mtetezi Wangu Yu Hai

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Mtetezi Wangu Yu Hai kutoka kwa mwimbaji Tumaini Njole akiwa amemshirikisha mwimbaji mahiri Christopher Muhangila.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakubariki na kukuinua, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Tumaini Njole kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 716 551 269
Facebook: Tumaini Njole
Instagram: @tumaininjole
Youtube: TumainiNjole

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top