Music

Music Audio: Trusly Feat Karen – Stay With Me

Rapa wa nyimbo za Injili kutoka nchini zambia anayefahamika kwa jina la Trusly ameachia wimbo wake mpya uitwao ”Stay With Me”(Kaa Nami) hapa akiwa amemshirikisha mwimbaji Karen, ukiwa ni wimbo wake wa pili baada ya kuchia wimbo wake wa kwanza uitwao ”Zikomo” mapema mwaka huu. wimbo huu umetayaarishwa ndani ya studio za K Amy Music chini ya mikono ya prodyuza KB.

Trusly ni rapa pekee wa kike wa nyimbo za injili nchini zambia aliyeafanikiwa kutumia sauti yake aliyobarikiwa kuwatangazia watu habari njema na kuwarudisha watu kwa Yesu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utaufurahia. Karibu ubarikiwe!!

 

Download Audio

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Music Audio: Edwin Mrope - Unapata

Next post

Audio Music: Becky Larry Izamoje – In Awe of You