Video | Audio: Tripod - Nipe Moyo - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Tripod – Nipe Moyo

Video

Video | Audio: Tripod – Nipe Moyo

Kutoka jijini Dar es salaam leo kwa mara ya kwanza nimekusogezea video ya wimbo mzuri sana uitwao Nipe Moyo kutoka kwa kundi jipya la waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania linalofahamika kwa jina la Tripod, video hii imeongozwa na director Emak na muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Moderns Music.

TRIPOD ni kundi la muziki wa Injili linaloundwa na waimbaji watatu akiwemo Nsajigwa Mordecai, Suleiman Wilson na Beda Andrew.

Nina imani kuwa utabarikiwa na kuinuliwa kila utakapoitazama video hii na kusikiliza wimbo huu, ambao una mguso wa kipekee.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na kundi la Tripod kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 714 140 989, +255 658 862 070
Facebook: Tripod Tz
Instagram: @tripod_tz
Twittter: @tripod_tz
Youtube: Tripod tz

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top