Audio

Audio: Toria – My World

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza tumekusogezea wimbo uitwao My World kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Toria.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza anayefahamika kwa jina la Walkeronda Beat.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa! Ameen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media:
Facebook: Victoria Ubani
Facebook fan page: Toria
Instagram: @Toriaworshipper_1
Twitter: @Toriaworshipper

Advertisements
Previous post

Audio: Pastor Upendo Mathias Feat. John Lihawa - Nampenda Bwana

Next post

Audio: Ipha – Spirit Of Truth