Connect with us

Audio: Tony Richie Feat. Limoblaze – Mirror

Audio

Audio: Tony Richie Feat. Limoblaze – Mirror

Kutoka nchini Nigeria leo nimekuletea wimbo uitwao ”Mirror” kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Tony Richie akiwa amemshirikisha rapa Limoblaze.

Kwa miaka mingi mwimbaji Tony Richie amefahamika kwa kuwa moja kati ya waimbaji wanaobadilisha maisha ya watu kila siku kupitia nyimbo zake, zenye kumtukuza na kumsifu Yesu Kristo na kuaminika kuwa nyimbo zake zimekuwa na uhusiano na Roho Mtakatifu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakubariki sana, Ameen.

 

Download Audio

Social Media
Twitter | Instagram: @ richiesoar
Facebook: Tony Richie

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Audio

To Top