Audio

Audio: Tolu – Follow 2x

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo uitwao I’am Here kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili maarufu kama Tolu kutoka nchini Nigeria hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya uitwao Follow 2x.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Tolu’s production chini ya mikono ya prodyuza loudcrybeats.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

 

Download Audio

Social Media
Instagram: @iamthatolu
Twittter: @iamthatolu

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Idowo Eyin – Hello God

Next post

Audio: STO – Omo Jesu