Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Tino Mhina – Msijigambe

Audio

Audio: Tino Mhina – Msijigambe

Audio: Tino Mhina - Msijigambe

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunautambulisha kwako wimbo mpya unaoitwa Msijigambe kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina Tino Mhina.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Tino Mhina kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 652 228 097
Facebook: Tino Mhina
Instagram: @tinomhina
Youtube: Tino Mhina

Advertisements
1 Comment

1 Comment

  1. mtendo butije

    June 11, 2019 at 12:36 am

    Nyimbo ni nzuri katika vipengele vyoote….
    Hongera sana Tino

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top