Connect with us

Video: Tingseh – Joyful Praise

Tingseh - Joyful Praise

Muziki

Video: Tingseh – Joyful Praise

Tingseh - Joyful Praise

Kutoka nchini Kenya leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Joyful Praise kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa Raga anayefahamika kwa jina la Tingseh.

“Shout joyful praises to God, all the earth! Sing about the glory of his name! Tell the world how glorious he is. ” Psalms 66:1-2

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Joe Tingseh
Instagram: @joetingseh1
Twitter: @joetingseh1
YouTube: JOE TINGSEH

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TRENDING

To Top