Habari

Throw Back:Tazama rapper Rungu la Yesu alivyopiga Show Uwanja wa Fisi sehemu iliyokuwa ikisifika kwa biashara ya ukahaba.

Hii ni show ambayo Rungu la Yesu alipiga kwenye mkutano wa injili uliondaliwa na huduma ya Liko Tumaini Kwa Yesu chini ya Mchungaji Paul&Debora iliyopo Manzese uwanja wa sifa ambao zamani ulikuwa ukiitwa uwanja wa fisi.

Advertisements
SirMbezi

SirMbezi

Aloyce Mbezi also known as SirMbezi So Amazing is a Journalist from Tanzania, Co-founder and Executive Director of GOSPOMEDIA, innovative and a thinker in nature determined to shape Tanzania Gospel Music Industry. Welcome to My World where My passion is my Work.
Contact me on : +255 679 433 323 Email: aloycembezi@gmail.com

Previous post

MWIMBAJI WA INJILI FAUSTIN JOHN AINGIZA ALBUM YAKE YA PILI “WINGU LA UTUKUFU” SOKONI..

Next post

Throw Back: Unaikumbuka hii Video ya "Kitu gani" toka kwenye album ya kwanza ya Christina Shusho.Kama hukuwai ona enzi hizo icheck hapa.