Connect with us

Video: The Way of Hope & The Rhythms – Holy is The Lamb

The Way of Hope & The Rhythms - Holy is The Lamb

Muziki

Video: The Way of Hope & The Rhythms – Holy is The Lamb

The Way of Hope & The Rhythms - Holy is The Lamb

Kutoka nchini Rwanda kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea video ya wimbo uitwao Holy is The Lamb kutoka kwa kundi la vijana linalojulikana kwa jina la The Way of Hope hapa wakiwa na kundi la suati za waimbaji kutoka Tanzania linalofahamika kama The Rhythms.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuguswa kweli kweli, Amen.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TRENDING

To Top