Mafundisho

Tembea na Wenye Hekima Ujumbe Kutoka kwa Milca Kakete: Machozi ya Kuachilia.

Shalom shalom!! leo kupitia tovuti gospomedia.com, Mwimbaji Milca Kakete amekuletea ujumbe wa Machozi ya Kuachilia ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa somo lake kuu la Tembea na Wenye Hekima ambalo linarushwa kila wiki kupitia tovuti ya gospomedia.com.

Leo katika ujumbe wa Machozi ya Kuachilia, mwimbaji Milca Kakete amezungumza haya yafuatayo:

“Mhimili wetu unatoka Mith.13:20 ” Machozi ya kuachilia” ikiwa utaanza siku yako ya kesho na Mungu; utachagua kumsamehe na kuanza kujifunza kumpenda yule aliyeumiza moyo wako.

Najua si rahisi ila katika kuminya jipu kuna uchungu mkubwa unaotoa machozi ila baada ya kutumbua jipu hilo uponyaji unazaliwa na uponyaji unapozaliwa ndipo uhuru na furaha na kicheko kinaota. jitahidi kujisukuma na umletee Mungu kujisifia wewe kwa ushindi utakaopatikana hapo kesho. By Milca Kakete niite “MK the worshiper”

Mwimbaji Milca Kakete kwasasa anaishi nchini marekani, ila kwasasa anatamba na video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la NATAKA NIKUABUDU ikiwa ni moja ya wimbo uliobeba jina la Album yake mpya iliyo katika mfumo wa DVD inayotambulika kwa jina la NATAKA NIKUABUDU.

Kama hujapata nafasi ya kuitazama video hii mpya ya Nataka Nikuabudu unaweza kuitazama hapa kisha washirikishe na wengine ili nao waweze kubarikiwa.

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Milca Kakete kupitia
Simu/WhatsApp: +1(905)3415664
Facebook: Milca Kakete
Instagram: @milcakakete
Twitter: milca kakete
Facebook Page: Milca Kakete Ministry
Email: milcakakete@yahoo.com

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Official Music Audio: Dona Feat Hycomakael-Mungu Ni Pendo

Next post

Mpigie kura Mwimbaji Beatrice Kitauli kwenye Tuzo za Xtreem. Maelekezo yako hapa..