Connect with us

Audio: Teekleph – Dancia

Audio

Audio: Teekleph – Dancia

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mzuri wa sifa uitwao Dancia ulioimbwa na mwimbaji Tolulope Ajiboye maarufu kama Teekleph, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza TyEmmy.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao kwa namna moja ama nyingine utakubariki, Amen.

 

Social Media Connection:
Facebook: Tolu Teekleph
Instagram: @teekleph0308
Twitter: @teekleph

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top