Connect with us

Tazama Video | Silikiza & Download Music Audio: Hakika Ruben – Ubatili

Muziki

Tazama Video | Silikiza & Download Music Audio: Hakika Ruben – Ubatili

Kutoka Iringa Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayejulikana  kwa jina la Hakika Ruben video ya wimbo huu inaitwa Ubatili wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Moses Mlowe kutoka katika studio za EMMRS na video ikiwa imeongozwa na director Shama kutoka studio ya Quality Five

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kutazama, kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Ubatili kutoka kwa mwimbaji Hakika Ruben na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Mp3

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Hakika Ruben kupitia
Simu/WhatsApp: +255 768 072 725
Facebook: Hakika Ruben
Twitter: @hakikaruben
Email: hakikandendya@rocketmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top