Video

Tazama Video | Silikiza & Download Audio: Sayuni Mrita-Nampenda.

Kutoka mkoani Morogoro Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayejulikana  kwa jina la Sayuni Mrita video ya wimbo huu inaitwa Nampenda ikiwa ni moja ya wimbo unaopatikana kwenye album yake mpya inayoitwa “NINACHOTAKA” iliyo kwenye mfumo wa DVD.

Video hii imeongozwa na director Amani Joseck na Jordan Joseck kutoka studio ya Enzi Films na audio ikiwa imetengenezwa na producer Steven kutoka studio za AIC Chang’ombe.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Nampenda kutoka kwa muimbaji Sayuni Mrita na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!


Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Sayuni Mrita kupitia
Simu/WhatsApp: +255 655 994 992 au +255 686 815 115
Facebook: Sayuni Mrita
Instagram: @Sayuni Mrita
Email:

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download GospelMusic Audio: SoulBrothers Unity-Nitakutukuza

Next post

Tazama Video | Download Gospel Music Audio: Eunice Njeri - Wanishangaza