Connect with us

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Rehema Lupilya-Ni wewe

Muziki

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Rehema Lupilya-Ni wewe

Kutoka jijini Dar es Salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayejulikana  kwa jina la Rehema Lupilya video ya wimbo huu inaitwa Ni Wewe ikiwa imeongozwa na director Jackson Joachim audio ikiwa imetengenezwa na producer Success kutoka studio za Faith Music Lab.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Ni Wewe kutoka kwa muimbaji Rehema Lupilya na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

DOWNLOAD MP3

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Rehema Lupilya kupitia
Simu/WhatsApp: +255 719 478 315
Facebook: Rehema Lupilya
Instagram: @rehemalupilya
Email: rehemalupilya1@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top