Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Prince Amos-Kisha Nikaona

Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Prince Amos-Kisha Nikaona

Kutoka jijini nairobi kenya mpaka Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayejulikana  kwa jina la Prince Amos video ya wimbo huu inaitwa Kisha Nikaona ikiwa imeongozwa na director Samwel Vianga kutoka studio ya Mkongo Videos na audio ikiwa imetengenezwa na yeye mwenyewe producer Prince Amos kutoka studio ya Manasseh Big Vission iliyopo Nairobi Kenya.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Kisha Nikaona kutoka kwa muimbaji Prince Amos na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Prince Amos kupitia
Simu/WhatsApp: +255 718 283 651
Fb fan page: www.facebook.com/princeamosmusic
Fb profile: www.facebook.com/princeamos
Twitter: @princeamos
Instagram: @officialprinceamos
Youtube: Prince Amos

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,794 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top