Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Paul Clement – Wimbo

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania, leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea video mpya iitwayo Wimbo kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo Injili anayefahamika kwa jina la Paul Clement video hii imeongozwa na director Einxer na audio ikiwa imetengenezwa ndani ya studio ya Fishers Records iliyopo jijini Dar es salaam.

gospomedia.com inakukaribisha kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu mpya uitwao Wimbo kutoka kwa muimbaji Paul Clement kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili Baraka hizi ziweze kuwafikia watu wengi zaidi mahala pote duniani na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na mwimbaji Paul Clement kupitia
Simu/WhatsApp: +255 625 661 862 au +255 719 367 002
Facebook: Paul Clement
Instagram: @paulclement
YouTube: Paul Clement
Email: fisherrecordstz@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Agness Nkugwe - AchaNikuimbie

Next post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Novic BCvm Feat Dolaa - Okoka Sasa