Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Pastor Mwambona Feat Ashley Nassary - Mwamba - Gospo Media
Connect with us

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Pastor Mwambona Feat Ashley Nassary – Mwamba

Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Pastor Mwambona Feat Ashley Nassary – Mwamba

Kutoka jijini Dar es salaam, Tanzania, leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea video mpya iitwayo Mwamba kutoka kwa muimbaji wa nyimbo Injili anayefahamika kwa jina la Pastor Mwambona akiwa amememshirikisha muimbaji Ashley Nassary. video ikiwa imeongozwa na director anayefahamika kwa jina la Adam wa Pili kutoka studio za Provision na audio ikiwa imefanyika Hapa Studios.

gospomedia.com inakukaribisha kuitazama video hii ya Mwamba, kusikiliza na kupakua wimbo huu kutoka kwa Mwimbaji huyu kutoka kwa Pastor Mwambona akiwa amemshirikisha Ashley Nassary kisha share(washirikishe) na wengine zaidi kwa kadri uwezavyo ili nao waweze kubarikiwa. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Pastor Mwambona kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 653 430 497
Facebook: Pastor Mwambona
Instagram: @pastormwambona
Twitter: @pastormwambona
Youtube: Pastor Mwambona
Blog: www.pastormwambona.blogspot.com
Email: pastormwambona63@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

More in Video

To Top