Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Pastor Eric Hance Mtalemwa-Nauona Muujiza

Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Pastor Eric Hance Mtalemwa-Nauona Muujiza

Kutoka jijini mwanza Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili  anayejulikana  kwa jina la Pastor Eric Mtalemwa ambaye pia ni mchungaji wa kanisa la KKKT, Dayosisi ya Mashariki ya ziwa Victoria , video ya wimbo huu inaitwa Nauona Muujiza ikiwa imeongozwa na Director Severi Laakso kutoka studio ya Tesoma Studios na audio ya wimbo huu ikiwa imetengenezwa kutoka ndani ya studio ya Tivol chini ya mikono ya producer Salehe Mashauri kutoka jijini Mwanza.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kuitazama video hii, kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi ili na wao wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Nauona Muujiza kutoka kwa muimbaji Pastor Eric Mtalemwa na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na mwimbaji Eric Mtalemwa wasiliana naye kupitia.
Simu/WhatsApp +255 766 013 159
Facebook: Eric Hance Mtalemwa
Instagram: @ericmtalemwa29 Email: huomenta60@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

Continue Reading

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,792 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top