Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Mc Freddie Feat Mr.Mike-Wakusamehe

Kutoka mkoani morogoro leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuwekea video mpya kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Mc Freddie akiwa amemshirikisha muimbaji anayefahamika kwa jina la Mr.Mike wimbo huu unaitwa Wakusamehe video ikiwa imeongozwa na director Chriss & Stepp kutoka studio ya Alivetz studios na wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya El nino Music chini ya mikono ya maproduza wawili ambao ni Cat P na Yuck kutoka jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kutazama video hii, kusikiliza na kuupakua wimbo huu  Wakusamehe kutoka kwa muimbaji Mc Freddie kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti muimbaji huyu katika kuisaidia Injili kusambaa mahali pote kupitia muziki na hakika utabarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Mc Freddie kupitia
Simu/WhatsApp: +255 654 051 919
Facebook: Fredie Mc 
Instagram: mc_freddie_believer
Email: mcfredietz@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Augustino Mhina-Pokea Sifa

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Giveness Ngao-Nimeutoa Moyo