Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Joel Lwaga-Amenifanyia Amani(Music Cover)

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili hasa kwa muziki wa jukwaani (Live) akijulikana  kwa jina la Joel Lwaga video ya wimbo huu inaitwa Amenifanyia Amani ikiwa ni Cover ya wimbo wa muimbaji Paul Clement uliofanya vyema mwaka 2016 kupitia radio, tv na blogs mbalimbali za muziki wa Injili video hii imeongozwa na director Adam wa pili kutoka Tanzania.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Amenifanyia Amani Cover kutoka kwa muimbaji Joel Lwaga na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Joel Lwaga kupitia
Simu/WhatsApp: +255 716 747 597
Facebook: Joel Lwaga
Instagram: @Joellwaga_official
YouTube: JoelLwaga

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Emmanuel Gripa-Salama (Guitar Version Cover)

Next post

Onstage: Agatha Mhina Alivyoimba Kwenye Uzinduzi wa Album Yake Uweza wa Bwana Februari 26 ndani ya Winners Chapel.