Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Henry Sanga Feat Christina Shusho – Nipeni Muda

Kutoka jijini Arusha Tanzania, leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea video mpya iitwayo Nipeni Muda kutoka kwa muimbaji wa nyimbo Injili anayefahamika kwa jina la Henry Sanga hapa akiwa amemshirikisha muimbaji mkongwe na mahiri wa nyimbo za Injili Tanzania na Afrika mashariki na kati Christina Shusho video ya wimbo huu imeongozwa na director Nezzo kutoka studio ya NF Films na audio ikiwa imetengenezwa ndani ya studio ya CS Studio iliyopo jijini Dar es salaam.

gospomedia.com inakukaribisha kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu mpya kutoka kwa muimbaji Henry Sanga akiwa amemshirikisha Christina Shusho kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili Baraka hizi ziweze kuwafikia watu wengi zaidi mahala pote duniani na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi au huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Henry Sanga kupitia.
Simu/WhatsApp: +255 769 088 842
Facebook: Henry Sanga
Instagram: @henrysanga
Email: sangahenry@gmail.com
Blog: www.sangasocialgospel.blogspot.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Jimmy Gospian - Utusamehe

Next post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Stanley Qamara - Kilicho Bora