Connect with us

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Happy Kweyamba – Our Father

Muziki

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Happy Kweyamba – Our Father

Kutoka jijini Dallas Texas, Marekani leo kupitia gospomedia.com tumekuwekea  video mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Happy Kweyamba video ya wimbo wake huu inaitwa Our Father(Baba Yetu)  ikiwa imeongozwa na director anayefahamika kwa jina la Yassin Nkya na audio ikiwa imetengenezwa na producer Innocent Mujwauki kutoka studio ya Push Up record iliyopo jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kutazama video hii, kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu Our Father(Baba Yetu) kutoka kwa muimbaji Happy Kweyamba kutoka nchini marekani kwenye jiji la Dallas Texas na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Happy Kweyamba yupo tayari kwa mialiko mbalimbali ya kihuduma na anapatikana kwa mawasiliano yafuatayo:
Facebook: Happie Kweyamba
Instagram: Happy Kweyamba/happie_amos
Youtube: Happy Kweyamba.

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia.

To Top