Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Dona Feat SirMbezi – Uthamani

Kutoka jijini Dar es Salaam Tanzania leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea video ya wimbo mpya iitwayo Uthamani kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili yenye mahadhi ya gospel hip-hop anayejulikana  kwa jina la Dona akiwa amemshirikisha rappa SirMbezi So Amazing video ikiwa imeongozwa na Director Jackson Joachim na wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Amyz kutoka katika studio za Enzi Records.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuweza kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa Uthamani kutoka kwa muimbaji Dona na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Dona wasiliana nae kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 713 02 44 55
Facebook: Dona
Instagram: @255dona

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia

 

Advertisements
Previous post

Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Zaidi Mwezi March 2017, Hizi Hapa.

Next post

Video | Audio: Tanzania One Soul - Ni salama