Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: David Cosmas – Nioneshe Njia

Kutoka jijini Mwanza Tanzania, leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea video mpya iitwayo Nionyeshe Njia kutoka kwa muimbaji wa nyimbo Injili anayefahamika kwa jina la David Cosmas. video ikiwa imefanyika kwenye studio za Over The Classic Pictures na Audio ikiwa imetengenezwa na Prodyuza DC.

gospomedia.com inakukaribisha kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu kutoka kwa Mwimbaji huyu kutoka jiji la Mwanza kisha share(washirikishe) na wengine zaidi kwa kadri uwezavyo ili nao waweze kubarikiwa. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji David Cosmas kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 766 709 445
Facebook: David Cosmas

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Godfrey Mwakisyala - Yesu Sema

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Agness Nkugwe - AchaNikuimbie