Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Augustino Mhina-Pokea Sifa

Shalom! leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuletea video mpya kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Augustino Mhina video ya wimbo huu inaitwa Pokea Sifa ikiwa imeongozwa na Director Yona Mkumbwa na wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Winners Records chini ya mikono ya producer Tonny kutoka jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha uweze kuitazama video hii, kusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Pokea Sifa kutoka kwa muimbaji Augustino Mhina kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo wimbo huu ikiwa ni sehemu ya kuisambaza Injili na kumpa sapoti mwimbaji huyu na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Augustino Mhina wasiliana nae kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 652 228 097
Facebook: Augustino Mhina
Instagram: @tino_mhina
Youtube: Tino Mhina
Email: tino.mhina1@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Esteria Paul-Umeinuliwa

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Mc Freddie Feat Mr.Mike-Wakusamehe