Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Shadrack Robert Feat Angel Benard-Mungu Nilinde

Kutoka Arusha Tanzania leo gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Shadrack Robert safari hii akiwa amemshirikisha muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Angel Benard video ya wimbo huu inaitwa Mungu Nilinde video ikiwa imeongozwa na Kwetu Studios na wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Samtimber kutoka studio ya Fnouk iliyopo jijini Arusha.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video hii ya Mungu Nilinde kutoka kwa muimbaji Shadrack Robert akiwa na Angel Benard pia unaweza kuusikiliza na kuupakua wimbo huu hapa chini kisha mpe sapoti yako muimbaji huyu kwa kuwashirikisha wengine zaidi kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wote na hakika utabarikiwa sana Karibu!!


Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Shadrack Robert kupitia
Simu/WhatsApp: +255 767 897 260
Facebook: Shadrack Robert
Instagram: @shadrackrobert
Twitter: @shadrackrobert2
YouTube: Shadrack Robert
Email: thisisshadrack@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Prince Amos-Kisha Nikaona

Next post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Man Titho-Salaam Kwa Annoint Essau Amani