Connect with us

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Sauti Ya Ushuhuda (SYU)-Wale Wale

Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Sauti Ya Ushuhuda (SYU)-Wale Wale

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa kundi la waimbaji wapya wa nyimbo za Injili wanaojulikana kwa jina la Sauti Ya Ushuhuda video ya wimbo huu inaitwa Walewale ikiwa imeongozwa A Brilliant Media Production na audio ikiwa imetengenezwa kutoka studio ya NKBS Studios.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Walewale kutoka kwa muimbaji Sauti Ya Ushuhuda(S.Y.U) na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Sauti Ya Ushuhuda(S.Y.U) kupitia
Simu/WhatsApp: +255 715 862 852

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Continue Reading
You may also like...

More in Video

To Top