Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: PeaceKing David Feat Christina Shusho-Chibuikem

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili mwenye asili ya kutoka nchini nigeria anayejulikana  kwa jina la Peaceking David akiwa amemshirikisha muimbaji mahiri kutoka nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Christina Shusho video ya wimbo huu inaitwa Chibuikem(God is My Power/Mungu ni nguvu Yangu) ikiwa imeongozwa na director anayefahamika kwa jina la Ami Lyimo kutoka studio ya Lyimo’s production na audio ikiwa imetengenezwa na producer Samweli Luhende kutoka studio ya Sam Production.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Chibuikem(God is My Power/Mungu ni nguvu Yangu) kutoka kwa muimbaji Peaceking David akiwa na Christina Shusho na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Peaceking David kupitia
Facebook Page: Peaceking David
Instagram: @peaceking5050
Twitter : Peaceking David
Youtube: Peaceking David
Email: peacekingdavid55@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Gelax Wakristo - Wasiwasi

Next post

Tamasha la Mtakatifu Kutoka Kwa John Lisu Lililofanyika Arusha Tar 5 March 2017. Habari Picha Hizi Hapa.