Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Mathias Gabriel-Yesu Ni Uzima
Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Mathias Gabriel video ya wimbo huu inaitwa Yesu Ni Uzima ikiwa imeongozwa na director fahim Rashim
kutoka studio ya Y N M production na audio ikiwa imetengenezwa na producer Testimoni kutoka studio ya New messengers of Christ iliyopo mikocheni.
gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa Yesu Ni Uzima kutoka kwa muimbaji Mathias Gabriel na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!
Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Mathias Gabriel kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 714 552 868 au +255 769 623 300
Facebook: Mathias Nkiliye
Instagram: @mtumishimathias
Youtube: MTUMISHI MATHIAS
Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia