Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Jimmy Gospian – Utusamehe

Kutoka jijini Mwanza Tanzania, leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea video mpya iitwayo Utusamehe kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo Injili anayefahamika kwa jina la Jimmy Gospian video ya wimbo huu imeongozwa na director kenny ukiyz kutoka studio ya Bluesky Media production na audio ikiwa imetengenezwa na producer Nusder kutoka ya studio ya vibe nation audios iliyopo jijini Mwanza.

gospomedia.com inakukaribisha kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu mpya kutoka kwa muimbaji Jimmy Gospian kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili Baraka hizi ziweze kuwafikia watu wengi zaidi mahala pote duniani na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Jimmy Gospian kupitia
Simu/WhatsApp: +255 759 950 978
Facebook: Jimmy Gospian
Instagram: @jimmygospian

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Joel Lwaga - Sitabaki Nilivyo

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Henry Sanga Feat Christina Shusho - Nipeni Muda