Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Janet Otieno-Bisha

Kutoka jijini Nairobi Kenya leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili kutoka nchini kenya akijulikana  kwa jina la Janet Otieno video ya wimbo huu inaitwa Bisha ikiwa imeongozwa na director Tiger kutoka studio ya Tiger Entertainment na audio ikiwa imetengenezwa na producer Jacky B kutoka nchini kenya.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Bisha kutoka kwa muimbaji Janet Otieno na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Janet Otieno kupitia:
Email: jannettn@gmail.com
Facebook Page: Janet Otieno
Instagram: @janetotienoKe
Youtube: Janet Otieno

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audeo: Neema Mudosa Feat Goodluck Gozbert-Washangaze

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Faith Mission Vijana Choir Chato-Nitalitangaza