Connect with us

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Hezekiah Rubete-Uliponitoa Ni Mbali

Muziki

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Hezekiah Rubete-Uliponitoa Ni Mbali

Kutoka Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania akijulikana  kwa jina la Hezekiah Rubete video ya wimbo huu inaitwa Uliponitoa Ni Mbali ikiwa imeongozwa na kutengenezwa ndani ya studio ya GBS Media.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Uliponitoa Ni Mbali kutoka kwa muimbaji Hezekiah Rubete na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Hezekiah Rubete kupitia:
Facebook: Hezekiah Rubete
Instagram: @hezekiahrubete
Youtube: Hezekiah Rubete

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top