Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Faith Mission Vijana Choir Chato-Nitalitangaza

Kutoka Chato mkoani Geita Tanzania leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwaya mpya ya vijana inayofahamika kwa jina la Faith Mission Vijana Choir Chato video ya wimbo huu inaitwa Nitalitangaza ikiwa ikiwa ni moja ya video inayopatikana kwenye album yao mpya inayobebwa na jina hilo la Nitalitangaza ikiwa imetengenezwa na producer DX kutoka studio ya LC.

Akiongea na gospomedia.com mmoja wa wanakwaya hiyo Bw.Daniel Emmanuel Amesema kuwa album yao hii mpya ipo tayari ikiwa kwenye mfumo wa CD na DVD ila bado haijaingia sokoni kwakuwa bado hawajapata msambazaji na endapo watapata msambazaji wataweza kuwataarifu wadau na wapenzi wa nyimbo za Injili kuweza kupata album hiyo.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Nitalitangaza kutoka kwaya ya Faith Mission Vijana Choir-Chato na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na kwaya ya Faith Mission Vijana Choir kupitia:

Simu/Whatsapp: +255 764 564 994 au +255 768 426 238
Email: emanueldaniel014@gmail.com
Facebook Page: Faith Mission Vijana Choir
Youtube: Faith Mission Vijana Choir

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Janet Otieno-Bisha

Next post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Goodluck Machaka-Sema na Yesu