Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audeo: Neema Mudosa Feat Goodluck Gozbert-Washangaze

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili mwenye asili ya congo lakini kwasasa anaishi nchini Tanzania akijulikana kwa jina la Neema Mudosa akiwa amemshrikisha muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Goodluck Gozbert kutoka nchini Tanzania video ya wimbo huu inaitwa Washangaze ikiwa imeongozwa na director Joh Filmz na audio ikiwa imetengenezwa na producer Goodluck Gozbert kutoka studio ya Mpo Afrika.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa Washangaze kutoka kwa muimbaji Neema Mudosa akiwa na Goodluck Gozbert na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Neema Mudosa kupitia
Simu/WhatsApp: +255654 782 575
Facebook: Neema Guillaine Mudosa
Instagram: @neemamudosa

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Mathias Gabriel-Yesu Ni Uzima

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Janet Otieno-Bisha