Audio

Tazama Video | Download Music Audio: T.S Itopa Feat Johnny K. Palmer – Unrestrained

Rapa T.S Itopa mwenye asili ya nigeria anayeishi anayeishi ulaya, ameachia video yake mpya iitwayo “Unrestrained” akiwa amemshirikisha Johnny K. Palmer.

Wimbo huu unahusu uhuru, kuwa huru na mambo yaliyokukwaza katika kipindi cha nyuma, na kupata nguvu mpya ya kukuinua juu kupitia damu ya Yesu Kristo wakati wowote unapoanguka. Katika wimbo huu utamsikia rapa huyu akimshukuru Mungu kwa uaminifu wake na wema wake katika maisha yake.

T.S Itopa alizaliwa na kukulia katika mji wa Benue nchini nigeria, anaamini wito wake ni wa kutumika katika muziki, na amesukumwa kujiungamanisha na muziki wa Injili ili kuwa sehemu ya kueneza habari njema kwa watu wote duniani.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao hakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Social Media:
Twitter: @tsitopaOfficial
Facebook: TsItopa
Instagram: @itopatersoo

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Audio: Lecrae feat. Tori Kelly – I’ll Find You

Next post

Download Music Audio: Geo Feat Josh - On My Nerves