Video

Tazama Video | Download Music Audio: Prisca Sanga – Uweponi Mwako

Kutoka mjini Iringa leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea video ya wimbo mpya kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania akifahamika kwa jina la Prisca Sanga, video ya wimbo huu inaitwa Uweponi Mwako ikiwa imeongozwa na director Debro Gabriel kutoka studio ya Eagle View na wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Mefo Records chini ya mikono ya producer KingSon kutoka mjini mbeya.

blog yako pendwa ya gospomedia.com inakukaribisha uweze kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao kwa hakika utakubariki na kukuinua sana kiroho, pia usiache kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili neno la Mungu liweze kuwafikia watu wengi zaidi na kufunguliwa kupitia muziki wa Injili na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Prisca Sanga kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 757 505 792
Facebook: Prisca Sanga
Instagram: @priscasanga
Youtube: Prisca Sanga
Email: priscasanga23@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Audio: Mussa Mpume Feat Ester - Hata Sasa Umenisaidia

Next post

Mafanikio: Fahamu Jinsi ya Kufanikiwa - Sehemu ya Pili