Video

Tazama Video | Download Music Audio: Mireille Basirwa – We Ndio Mungu

Kutoka jijini Nairobi kenya leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tunaitambulisha kwako video mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Mireille Basirwa video ya wimbo huu inaitwa We Ndio Mungu video ikiwa imeongozwa na director X Antonio na wimbo ukiwa umetayaarishwa na Produza Paulo kutoka Kenya.

gospomedia.com inakukaribisha kuweza kuitazama video hii na kuupakua wimbo huu kutoka kwa mwimbaji Mireille Basirwa na hakika utabarikiwa sana kupitia video hii na wimbo huu. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mwimbaji Mireille Basirwa wasiliana naye kupitia
Facebook: Mireille Basirwa
Instagram: @mireillebasirwa
YouTube: MireilleBasirwaOfficial

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Jinsi ya Kufanikiwa Sehemu Ya nne: Ijue Nguvu ya Nidhamu katika Mafanikio Yako.

Next post

Download Audio: Jimmy Gospian - Jehova