Connect with us

Tazama Video | Download Music Audio: Mercy Masika – Shule Yako (Nifunze)

Muziki

Tazama Video | Download Music Audio: Mercy Masika – Shule Yako (Nifunze)

Kutoka jijini nairobi Kenya leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji  wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Mercy Masika video ya wimbo huu inaitwa Shule Yako(Nifunze) ikiwa umeongozwa na studio ya Still Alive na Audio ikiwa imetengenezwa na producer Teddy B kutoka nchini kenya.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kutazama video hii, kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi nao wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Mercy Masika kupitia:
Facebook Page: Mercy Masika
Instagram: @mercymasika

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top