Video

Tazama Video | Download Music Audio: Kristin – Njia

Kutoka jijini Nairobi Kenya leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji  wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Kristin Muchemi video ya wimbo huu inaitwa Njia ikiwa umeongozwa na studio ya Still Alive na Audio ikiwa imetengenezwa na producer Sheddy kutoka nchini kenya.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kutazama video hii, kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi nao wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Kristin Muchemi kupitia:
Facebook Page: Kristin Muchemi
Instagram: @ kristinmuchemi

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Music Audio: Mc Freddie - Kanisani

Next post

Tazama Video | Download Music Audio: Mercy Masika - Shule Yako (Nifunze)