Video

Tazama Video | Download Music Audio: Jeremiah Masasi – Karibu Nyumbani

Kutoka jijini Mwanza Tanzania, tovuti yako pendwa ya gospomedia.com leo inaitambulisha kwako video mpya iitwayo Karibu Nyumbani kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Jeremiah Masasi video ikiwa imeongozwa na director Kitwanga kutoka studio ya Kitwangwa Production na wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Rone.

gospomedia.com tunakukaribisha kutazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Karibu Nyumbani kutoka kwa mumbaji Jeremiah Masasi na uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo  ili waweze kubarikiwa na kuinuliwa na hakika Mungu atakubariki sana.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Jeremiah Masasi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 742 827 227
Facebook: Jeremiah Masasi
Instagram: @jeremiahmasasi

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Audio: Eribless Liundi feat Veronica Dancun-Huyu Yesu

Next post

Download Gospel Music Audio: Joel Milendo Feat Mussa Mpume - Mtetezi