Video

Tazama Video | Download Music Audio: Daddy Owen – Tazama

Kutoka jijini Nairobi Kenya leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji  wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Daddy Owen video ya wimbo huu inaitwa Tazama ikiwa umeongozwa na studio na director Davy Barbz kutoka studio ya Gravit Records na Audio ikiwa imetengenezwa na producer JohnTez kutoka nchini kenya.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kutazama video hii, kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi nao wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Daddy Owen kupitia:
Facebook Page: Daddy Owen
Instagram: @daddyowen

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Music Audio: Guardian Angel - Kesho Yako

Next post

Tazama Video | Download Music Audio: Mr.Vee The Spice - All Of A Sudden