Video

Tazama Video | Download Music Audio: Christina Shusho – Yote Alimaliza

Kutoka Dar es salaam Tanzania, leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunaitambulisha kwako video mpya inayoitwa Yote Alimaliza kutoka kwa mwimbaji mkongwe na mahiri wa nyimbo za Injili kutoka Afrika mashariki na kati anayejulikana kwa jina la Christina Shusho video ya wimbo huu imeongozwa na director Mbangwa Hassan kutoka studio ya Brayance Works Productions wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio yake mwenyewe iitwayo Cs Records.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video hii mpya ambayo pia unaweza kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Yote Alimaliza kutoka kwa muimbaji Christina Shusho kisha unaweza kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili waweze kubarikiwa na kuinuliwa pia kupitia video ya wimbo huu na tunaamini utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Christina Shusho kupitia
Facebook: Christina Shusho
Instagram: @christinashusho

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Album Mpya ya Hakuna Kama Wewe ya Rose Mollel Chipe Kuzinduliwa Tarehe 02.07.2017

Next post

Download Gospel Music Audio: James Frank - Tunamtaka Tabitha