Tazama Video | Download Gospel Music Audio: Eunice Njeri – Wanishangaza
Kutoka nairobi kenya leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video mpya kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Eunice Njeri wimbo huu unaitwa Wanishangaza ikiwa imeongozwa na Bantu Films na audio ikiwa imetengenezwa na maproducer wawili ambao ni Isaac Mungeri kutoka studio za Kijani Inc na Allen Charles kutoka studio za SoundArt.
gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Wanishangaza kutoka kwa muimbaji Eunice Njeri na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!
Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Eunice Njeri kupitia
Facebook: Eunice Njeri
Instagram: @eunicenjeri
Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia