Video

Tazama Video | Download Audio: Sebastian Silas – Moyo Wangu

Kutoka jijini Arusha Tanzania leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia tumekusogezea video ya wimbo mpya wa kuabudu uitwao Moyo Wangu kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Sebastian Silas. video hii imeongozwa na timu ya KBS Films na wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio ya Fnuk Studio chini ya mikono ya producer Alex Lobulu.

Kupiti wimbo huu wa ibada mwimbaji Sebastian anaonyesha wazi hisia zake juu kuamini katika Mungu wa kweli na kutushawishi kuwa hakuna kilicho bora maishani mwetu zaidi ya Mungu pekee hivyo ni wajibu wa kila mmoja kati yetu kumuabudu Mungu katika roho na kweli ya matendo yetu ili Mungu aweze kutubariki na kutuinua zaidi ili tuweze kuendelea kumsifu na kumtumikia vile inavyopaswa. Hakika ni wimbo mzuri sana ambao utainua moyo na roho yako.

Kwa moyo mkunjufu gospomedia .com inakukaribisha Kutazama, kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Sebastian Silas kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 754 622 308
Facebook: Sebastian Silas
Instagram: @sebastiansilas
Youtube: Sebastian Silas

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Audio: Dee Jones - Nothing Is Impossible

Next post

Tazama Video | Download Audio: Wagala Shungu - Ni Baba