Tazama Video | Download Audio: Minister Ladi - You Are Glorious - Gospo Media
Connect with us

Tazama Video | Download Audio: Minister Ladi – You Are Glorious

Video

Tazama Video | Download Audio: Minister Ladi – You Are Glorious

Kutoka nchini nigeria mtumishi wa Mungu anayefahamika jina la Minister Ladi leo anakukaribisha kuitazama video yake mpya ya wimbo uitwao ‘You are Glorious'(Wewe ni Mtukufu) video ikiwa imeandaliwa na kusimamiwa na Play Me Entertainment na wimbo ukiwa umetaarishwa na prodyuza ‘Gibenga Ajayi’.

Blog yako pendwa ya gospomedia.com inakukaribisha kuitazama video hii nzuri ambayo hakika itakubariki na kukuinua. Karibu!!

Download Audio

Wasiliana na Minister Ladi kupitia:

Facebook: Minster Ladi
Instagram: @ministerladi
Twitter: @ministerladi

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Continue Reading
You may also like...

More in Video

To Top