Connect with us

Tazama Video | Download Audio: Mess Jacob – Mwacheni Mungu

Muziki

Tazama Video | Download Audio: Mess Jacob – Mwacheni Mungu

Shalom! leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia tumekusogezea video mpya ya muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Mess Jacob Chengula video ya wimbo huu inaitwa Mwacheni Mungu video ya wimbo huu imeongozwa na director Nyatta kutoka Sky Media.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kuitazama video hii njema na kupakua wimbo huu wenye jumbe ya baraka juu yako. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Mess Chengula kupitia
Simu/WhatsApp: +255715 880 584 au +255756 880 584 
Facebook: Mess chengula Tz
Instagram: @mess_ chengula 
YouTube: Mess Jacob Chengula

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>@gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

To Top