Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Tazama Video | Download Audio: Jessica Honore – Ni Yesu

Video

Tazama Video | Download Audio: Jessica Honore – Ni Yesu

Kutoka Dar es salaam, Tanzania leo tumekusogezea video ya wimbo mpya uitwao Ni Yesu kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Jessica Honore au unaweza kumwita Jessica Honore Bm, video hii imeongozwa na director Yotham Iyobha na wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Pushup Records iliyopo jijini Dar es salaam.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana siku ya leo. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Jessica Bm kupitia
Simu/WhatsApp: +255 712 332 007
Facebook: Jessica Honore bm
Instagram: @officialjessicah
Twitter: jessicabm
YouTube: Jessica Honore bm

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top