Connect with us

Tazama Video | Download Audio: Jerry K – The Air I Breath

Video

Tazama Video | Download Audio: Jerry K – The Air I Breath

”The Air I Breath” ni video mpya na yenye kubariki sana kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini nigeria anayefahamika kwa jina la ”Jerry K” kupitia blog yako pendwa tumekusogezea video hii uweze kuitazama na kupakua wimbo huu uliopata umaarufu mkubwa tangu ulivyoachiwa kwake mwaka jana. Karibu!!

Download Audio

Social Media: @jkwealth on Twitter

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

More in Video

To Top