Connect with us

Tazama Video | Download Audio: Israel – Mungu Ni Pendo

Muziki

Tazama Video | Download Audio: Israel – Mungu Ni Pendo

Kutoka jijini Dar es salaam, leo tumekusogezea video iitwayo Mungu ni Pendo kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Israel Watugala, video ikiwa imeongozwa na director Cane kutoka studio za M.M.G Graphics na prodyuza wa wimbo huu akiwa ni T-Joh.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Israel Watugala kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 763 821 121
Facebook: Israel Watugala
Instagram: @isradashed     Youtube: Israel Watugala

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

To Top